NERO CHISHENGA AJIUNGA NA ROCKY FC
Ni rasmi sasa mkufunzi Nero Chishenga amejiunga na klabu ya Rocky FC yenye makazi yake katika mtaa wa Thalatha Mel eneo bunge la Malindi Kaunti ya Kilifi. Kulingana na Nero ameamua kuachana rasmi na Malindi Progressive Academy na kujiunga na klabu hiyo ya Rocky ambayo zamani alikuwa akiichezea. Ameeleza matumaini yake kuwa anatarajia kuwa na […]
NERO CHISHENGA AJIUNGA NA ROCKY FC Read More »



