Kitaifa

FIRAT ATANGAZA KIKOSI CHAKE CHA MASHINDANO YA MATAIFA MANNE

Mkufunzi wa timu ya taifa ya Harambe Stars Engin Firat ameweka wazi kikosi chake atakachotumia katika mashindano yajayo ya mataifa manne pekee yatakayoanza rasmi tarehe 11 hadi 18 mwezi Juni. Kikosi hicho cha wachezaji 30 kinachojumuisha wachezaji kutoka ligi ya Kenya na ligi za kigeni kitaanza rasmi mazoezi yake tarehe 5 mwezi ujao. Kikosi kilichotambuliwa

FIRAT ATANGAZA KIKOSI CHAKE CHA MASHINDANO YA MATAIFA MANNE Read More »