FKF YAANZA MPANGO WA KUINUA SOKA LA KINADADA
Rais wa shirikisho la soka la FKF nchini Nick Mwendwa amezidua rasmi kampeni ya kuleta wachezaji wa kike Viwanjani kama njia moja ya kuhamasisha taifa kuhusu umuhimu wa kufanya kinadada hapa nchini kujihusisha zaidi kwenye soka. Kampeni hiyo ambayo ni ya kimataifa kwa ushirikiano na shirikisho la Fifa ilianza jana hapa nchini kwa kuandaliwa kwa […]
FKF YAANZA MPANGO WA KUINUA SOKA LA KINADADA Read More »



