KOKANE HUENDA AKAJIPATA MATATANI
Adhabu kali zaidi huenda ikamkuta Kokane Lango ambaye ni kipa wa klabu ya Sango Sportiff (kutoka Tana River) inayoshiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa kufuatia cheche za maneno aliyoyatoa kwa msimamizi wa mechi yao wikendi ilopita. Katika mechi hiyo dhidi ya klabu ya Aston Rangers Lango alipewa kadi nyekundu kufuatia kumpiga mchezaji wa […]
KOKANE HUENDA AKAJIPATA MATATANI Read More »



