Kitaifa

HATA YOUNG BULLS WAKIPANDA TUTAJIVUNIA, NI TIMU YA MALINDI PIA – BILL MWANGEMI

Mkufunzi wa klabu ya Malindi Progressive Bill Mwangemi anasema kwamba ako na matumaini makubwa kuwa klabu yake bado iko na nafasi ya kufuzu kupanda daraja na kushiriki katika ligi ya National Super League msimu ujao. Kulingana na mwangemi ni kwamba licha ya changamoto ya kukosa muendelezo wa matokeo bora msimu huu hasa baada ya wachezaji […]

HATA YOUNG BULLS WAKIPANDA TUTAJIVUNIA, NI TIMU YA MALINDI PIA – BILL MWANGEMI Read More »

ABABU ABATILISHA UTEUZI WA KAMATI YA TALANTA HELA

Waziri wa michezo  Ababu Namwamba hii leo amebatilisha uteuzi wa kamati ya talanta hela aliyoichagua mwezi February kusaidia masuala ya michezo pamoja na talanta hapa nchini Kenya. Awali kamati hiyo iliyofaa kuhudumu kwa miezi mitatu katika kusaidia makuzi ya talanta pamoja na kuweka mazingira mazuri ya kuhakikisha kwamba wachezaji wa Kenya hawapitii changamoto zaidi hasa

ABABU ABATILISHA UTEUZI WA KAMATI YA TALANTA HELA Read More »