HARAMBEE STARS YASHINDA MECHI YA KWANZA
Timu ya taifa ya kenya Harambe Stars imesajili ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Pakistan katika mashindano ya mataifa manne yanayoendelea nchini Mauritious. Bao la pekee na la ushindi la Moses Shumah ambaye anachezea klabu ya Kakamega Homeboyz hapa nchini kunako dakika ya 44 ndilo lilitosha kuwapa ushindi vijana hao wa […]
HARAMBEE STARS YASHINDA MECHI YA KWANZA Read More »



