WALITURAMBA KABLA YA MECHI – BEACH BAY
Klabu ya Beach Bay kutoka eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi inakadiria hasara ya zaidi ya shilingi elfu 50,000 baada ya ofisi yao kuvamiwa na kuporwa usiku wa Jumamosi wikendi iliyopita. Kulingana na mkufunzi mkuu wa timu hiyo Peter Mole akizungumza na Tama la Spoti asubuhi ya leo ni kwamba sare pamoja na mipira […]
WALITURAMBA KABLA YA MECHI – BEACH BAY Read More »



