Kitaifa

FATUMA ZARIKA ASHAURI SERIKALI KUHUSU NDONDI

Bondia wa kike hapa nchini Kenya Fatuma Zarika ameiomba serikali kuwekeza hata zaidi katika mchezo wa ndondi ili kuwezesha kuwepo kwa mabondia wengi hapa nchini tofauti na hali ilivyo kwa sasa. Zarika ameomba serikali kuwezesha mchezo huo kuandaa mashindano mengi ili kuufanya mchezo huyo kuwa na mashabiki wengi pamoja na kuepusha mabondia kuumizwa na umaskini.

FATUMA ZARIKA ASHAURI SERIKALI KUHUSU NDONDI Read More »