Kitaifa

TUTENGEZE ‘ACADEMY’ ZA MICHEZO SHULENI – GHOST MULEE

Mkufunzi wa zamani wa timu ya taifa ya Harambe Stars mwite Jacob Ghost Mulee amesistiza kwamba kuna umuhimu mkubwa wa shule za hapa nchini hasa katika shule za msingi kuanzisha mafunzo ya michezo mbalimbali ili makuzi ya talanta kuanza mapema. Amesema kwamba nyota nyingi za wachezaji waliokuwa na uwezo wa kupeperusha bendera ya Kenya katika

TUTENGEZE ‘ACADEMY’ ZA MICHEZO SHULENI – GHOST MULEE Read More »