KASAYA HATIMAYE AFUNGA BAO 3K
Elmond Kasaya hatimaye alifunga bao lake la kwanza katika klabu ya 3K baada ya kusajiliwa kutoka SS Assad ya kaunti ya kwale klabu inayoshiriki katika ligi ya kitaifa ya Super League. Dakika 16 pekee zilimtosha kufanya hivyo baada ya kuletwa kama mchezaji wa akiba kwenye mechi ambayo ilikuwa inawakutanisha na Simba Apparel mechi ambayo iliisha […]
KASAYA HATIMAYE AFUNGA BAO 3K Read More »



