Kitaifa

MALINDI PROGRESSIVE ACADEMY YAJIANDAA KWA DERBY YA KILIFI

Mkufunzi wa klabu ya Malindi Progressive Nero Chishenga anasema ukosefu wa washambulizi katika kikosi chake bado ni tatizo ambalo linampa kichwa kuuma jambo linalomfanya kushindwa kushinda mechi. Nero anasema kwamba kwa mechi za hivi punde ikiwemo ile ya wikendi ilopita dhidi ya Ziwani Youth tatizo hilo lilikuwepo licha ya wachezaji katika idara nyingine kuonyesha kiwango […]

MALINDI PROGRESSIVE ACADEMY YAJIANDAA KWA DERBY YA KILIFI Read More »