Kitaifa

KASAYA AHAMIA 3K

Mshambuliaji matata wa klabu ya SS Assad Elmond Kasaya ameachiliwa rasmi na klabu hiyo kwenye zoezi lake la kutaka kuihamia klabu yake mpya ya 3K inayoshiriki katika ligi ya daraja la kwanza kitaifa. Taarifa zasema kwamba klabu ya 3K inayoongozwa na mkufunzi Francis Chege imeshamsajili Kasaya baada ya kupiga tizinao kwa muda. Kasaya sasa anatayariwa

KASAYA AHAMIA 3K Read More »

SERIKALI KUFUATILIA UCHAGUZI WA FKF

Waziri wa michezo Ababu Namwamba amethibitisha kuwa serikali ya Kenya itafiatilia kwa ukaribu sana matukio yatakayofanyika katika harakati za shirikisho la soka la fkf kufanya uchaguzi mwaka huu. Amesema kwamba ni sharti sheria zifuatwe katika uchaguzi huo, sheria za uchaguzi wa FKF zilizobuniwa na kutumika mwaka 2020. ”Serikali iko na jukumu la kufuatilia na tutafuatilia

SERIKALI KUFUATILIA UCHAGUZI WA FKF Read More »