Kitaifa

CHANGAMWE LADIES NA BANDARI YOUTH ZANG’AA MBARAKI

Fainali za kombe la Chapa Dimba na Safaricom zilichezwa jana katika kaunti ya Mombasa kwenye uwanja wa KPA Mbaraki na ni mashindano ambayo yalishuhudia Changamwe Ladies wakichukua ubingwa wa fainali hizo kwa upande wa kinadada baada ya kuwalaza Bulls Starlets kutoka kaunti ya Kilifi kichapo cha mabao 3-0. Kwa upande wa wanaume ni kuwa Bandari

CHANGAMWE LADIES NA BANDARI YOUTH ZANG’AA MBARAKI Read More »

KENYA YAJIPANGA KWA CHAN MWEZI SEPTEMBA

Waziri wa michezo Ababu Namwamba amethibitisha kuwa kaunti ya Kakamega kutoka mkoa wa Magharibi ndio itakuwa wenyeji wa mashindano ya kombe la mataifa bingwa afrika maarufu kama Chan huku uwanja wa Bukhungu ukiwa kati ya viwanja ambavyo vinatarajiwa kutumika. Kwa sasa uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa ajili ya mashindano hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kuanza rasmi

KENYA YAJIPANGA KWA CHAN MWEZI SEPTEMBA Read More »