NIKO MALINDI UNITED KWA SASA – KAVOI
Rafiki Kavoi mchezaji anayewaniwa sana na vilabu katika ukanda huu wa pwani ni rasmi sasa amethibitisha kuwa yeye atasalia kuwa mali ya Malindi United klabu inayomilikiwa na mwakilishi wadi wa Malindi Rashid Odhiambo hadi mwisho wa msimu. Kulingana na Kavoi ni kuwa ataamua mustakabali wake kamili mwisho wa msimu ila kwa sasa yuko malikini kumaliza […]
NIKO MALINDI UNITED KWA SASA – KAVOI Read More »



