Kitaifa

WANNE WAJISALIMISHA DCI KUHUSU KIFO CHA KELVIN KIPTUM

Watu wanne ambao walikuwa wamezuru katika boma la mwanariadha Kelvin Kiptum kabla ya kifo chake walifika katika ofisi za DCI jana kuandikisha taarifa kamili kuhusu ziara yao na Kiptum baada ya baba mzazi wa Kiptum kuthibitisha kuwa watu hao walizuru kwao na hakuwa anawafahamu na walifaa kuchunguzwa. Taarifa zasema kwamba wanne hao walikuwa kwa Kiptum

WANNE WAJISALIMISHA DCI KUHUSU KIFO CHA KELVIN KIPTUM Read More »