Kitaifa

BULLS STARLETS KUCHEZA LIGI MSIMU UJAO

Huenda klabu ya Young Bulls Starlets kutoka Malindi kaunti ya Kilifi ikaingia kwenye ligi za FKF kwa mara ya kwanza kabisa msimu ujao baada ya timu hiyo kubuniwa mwaka huu 2024. Rishadi Shedu, mkufunzi anayesimamia kikosi hicho amethibitisha kuwa msimu huu walikosa nafasi kutokana na kuchelewa kusajiliwa lakini walihusika pakubwa katika mashindano ya Chapa dimba […]

BULLS STARLETS KUCHEZA LIGI MSIMU UJAO Read More »