MALINDI UNITED YAJIAMINIA
Meneja wa klabu ya Malindi United Alex Jumba amepuzia mbali semi za meneja wa klabu ya Young Bulls Shahib Shahib kuwa ataitandika Malindi United katika mechi ya Mudzini Derby itakayochezwa kesho huko Malindi Town Secondary. Kulingana na Alex ni kuwa Malindi United imejiandaa vilivyo na kesho watasajili ushindi licha ya kuwa watacheza ugenini. Alex anasema […]
MALINDI UNITED YAJIAMINIA Read More »



