Kitaifa

WACHEZAJI HAWAPEWI SAPOTI

Michezo ya kaunti ya kwale imeanza kuimarika kutokana na serikali kuingiliakati masuala ya vijana na talanta za mashinani. Mwaduka Bakari ambaye ni kocha mkuu wa Bumbani Stars amethibitisha hilo akizema kuwa vilabu vimeanza kuwezehwa hasa kati usafiri jambo ambalo linarahisisha ratiba za mechi hasa za ugenini. Mwaduka amesikitika na jisni ambavyo kaunti ya kilifi imewaachilia […]

WACHEZAJI HAWAPEWI SAPOTI Read More »