WACHEZAJI HAWAPEWI SAPOTI

Michezo ya kaunti ya kwale imeanza kuimarika kutokana na serikali kuingiliakati masuala ya vijana na talanta za mashinani.

Mwaduka Bakari ambaye ni kocha mkuu wa Bumbani Stars amethibitisha hilo akizema kuwa vilabu vimeanza kuwezehwa hasa kati usafiri jambo ambalo linarahisisha ratiba za mechi hasa za ugenini.

Mwaduka amesikitika na jisni ambavyo kaunti ya kilifi imewaachilia wachezaji jambo ambalo linafanya vilabu kudorora sio tu kimatokeo lakini baaadhi yao kusambaratika kabisa.

”Tatizo kubwa mabao linasambaratisha michezo katika kaunti ya Kilifi ni kwamba watu wengi wamejiondoa kwenye michezo. Sasa vijana wasipopigwa jeki watafaulu kivipi?” Alisikitika Mwaduka