Kitaifa

ENGIN FIRAT ANA HOFU!

Mkufunzi  mkuu wa timu ya taifa ya  Harambee Stars Engin Firat ana mashaka kuwa Kenya itakuwa tayari kuandaa mechi zijazo za kufuzu kwa Kombe la Dunia hapa nyumbani mwezi Juni, dhidi ya Burundi na mabingwa wa Afrika Ivory Coast. Kocha huyo akizungumza masaa machache kablaya Harambee Stars kuanza safari yao ya Malawi anasema kukosekana kwa […]

ENGIN FIRAT ANA HOFU! Read More »

MURANGA SEAL YASISTIZA HUSSEIN AWEPO KWENYE KIKAO CHA FKF

Klabu ya Muranga Seal inayoshiriki ligi kuu ya FKF hapa nchini imeshikilia kwamba Husein Mohamed ataiwakilisha klabu hiyo katika mkutano mkubwa wa mwaka wa FKF jumamosi ijayo. Husein Mohamed ambaye ni mkurugenzi mkuu wa Extreme Sports shirika lilolotangaza kupeana udhamini kwa ligi ya kitaifa ya Super League alikuwa amefungiwa na shirikihso la soka la fkf

MURANGA SEAL YASISTIZA HUSSEIN AWEPO KWENYE KIKAO CHA FKF Read More »