ANGELA OKUTOYI AANDIKISHA HISTORIA
Mchezaji maarufu wa tenisi nchini Kenya Angella Okutoyi sasa ni rasmi kuwa amefuzu kwa mashindano ya Olimpiki ya Paris Ufaransa, baada ya kunyakuwa medali ya dhahabu kwenye michezo ya Afrika mjini Accra, Ghana. Okutoyi, ambaye 2022 aliweka historia kwa kushinda taji la Wimbledon kwa kitengo cha wachezaji wawili kwa chipukizi, aliwazaba Lamis Al-Hussein wa Misri […]
ANGELA OKUTOYI AANDIKISHA HISTORIA Read More »



