MWENDWA ANAIMANI NA SOKA LA KINADADA
Rais wa shirikisho la soka hapa nchini Kenya FKF amethibitisha kuwa soka la kinadada sio Kenya pekee bali kimataifa ndio soka ambalo kwa siku za hivi karibuni linakua kwa kasi sana. Amesema kwa sasa kama shirikisho, FKF wameanza kupanga mikakati ya kuimarisha hata zaidi soka la kinadada ili kuenda na wakati jinsi ulimwengu unavyofanya kwa […]
MWENDWA ANAIMANI NA SOKA LA KINADADA Read More »



