JUNJU NDIO MABINGWA WA KOMBE LA GAVANA KILIFI
Kikosi cha soka kutoka wadi wa Junju kutoka eneo bunge la Kilifi Kusini ndio mabingwa wa makala ya kwanza ya soka la Governors Cup kwa upande wa wavulana. Walishinda ubingwa huo jana katika uwanja wa chuo kikuu cha Pwani baada ya kuizidi maarifa timu ya wadi ya Sabaki kutoka eneo bunge la Magarini kwenye upigani […]
JUNJU NDIO MABINGWA WA KOMBE LA GAVANA KILIFI Read More »



