UKOSEFU WA USHIRIKIANO UNAIPONZA MALINDI UNITED
Ukosefu wa ushirikiano baina ya baadhi ya viongozi wa klabu ya Malindi United pamoja na benchi la kiufundi lakini pia wachezaji ndio jambo ambalo limeishukisha pakubwa kiviwango klabu hiyo inayomilikiwa na mwakilishi wadi wa Malindi Rashid Odhiambo. Hii ni kulingana na kocha Kassim Katana Tama La Spoti ilipofanya mahojiano ya kipekee na mkufunzi huyo katika […]
UKOSEFU WA USHIRIKIANO UNAIPONZA MALINDI UNITED Read More »



