BANDARI FC KUJUA HATIMA YAO
Klabu ya Bandari FC inayoshiriki katika ligi kuu ya FKF nchini itasubiri hadi shirikishola soka FKF kupiana idhidi kwao kuutumia uwanja wa Ukunda Show Ground ulioko katika kaunti ya Kwale kwa ajili ya mechi mbili za mwisho zilizosalia kumaliza msimu huu. Kulingana na naibu mwenyekiti wa klabu hiyo Twaha Mbarak ni kuwa maafisa wa FKF […]
BANDARI FC KUJUA HATIMA YAO Read More »



