BUNTHWANI WATERFRONT YAFAIDI WANAMICHEZO
Ufukwe wa Bunthwani Water Front katika mji wa Malindi kaunti ya Kilifi unazidi kuwafaidi wanamichezo wengi katika taifa hili hususan kwenye michezo ya ufukweni kama vile soka, voliball pamoja na riadha. Mohamed Hafith ambaye ni meneja wa ufukwe huo akizungumza na Tama la Spoti kupitia njia ya simu amesema kuwa kuwa mwaka huu wanalenga kuwasilisha […]
BUNTHWANI WATERFRONT YAFAIDI WANAMICHEZO Read More »



