MARIAKANI FC YAUGULIA ‘NJAA’
Klabu ya Mariakani Fc kutoka kaunti ya Kilifi inayoshiriki ligi ya daraja la pili kitaifa inalilia udhamini kwani sasa inapitia kipindi kigumu kiuchumi wakati huu ambapo ligi imeingia katika raundi ya pili. Hayo yanajiri baada ya wikendi ilopita mechi yao kusitishwa baada ya kipindi cha kwanza pale ambapo klabu hiyo ilishindwa kulipa hata hela ya […]
MARIAKANI FC YAUGULIA ‘NJAA’ Read More »



