Kitaifa

KENYA POLICE FC KUVAANA NA KCB KATIKA FAINALI YA FKF CUP

Kenya Police itakutana na KCB katika fainali ya kombe la FKF mwezi ujao, baada ya kuwalaza AFC Leopards 1-0 katika mechi yao ya nusu fainali. Mechi hiyo ilichezwa Jumapili alasiri lakini ilisitishwa dakika ya 60 kutokana na sababu za kiusalama baada ya kushuhudiwa vurugu baina ya mashabiki, huku shirikisho hilo likiamuru mchezo wa dakika zilizobaki  […]

KENYA POLICE FC KUVAANA NA KCB KATIKA FAINALI YA FKF CUP Read More »