Kitaifa

MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP YAMETUATHIRI

Mkufunzi wa klabu ya Silver Bullets Sammy KARISA anasema kuwa kucheleweshwa kwa kupewa zawadi za governors cup kwa washindi wa mashindano hayo kumewaathiri pakubwa. Anasema wale ambao walikuwa wakiwasaidia kifedha wamejiondoa kutokana na tetesi kuwa walipewa pesa hizo kisiri kaama viongozi. Anasema yeye kama kocha alikuwepo katika kikosi cha Junju kama mshauri tu wa benchi

MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP YAMETUATHIRI Read More »