Kitaifa

PROGRESSIVE STARLETS ILISAMBARATIKA!

Timu ya kinadada ya Malindi Progressive Academy kwa sasa haishiriki ligi yoyote na wachezaji waliokuwepo takriban wote walijiondoa katika timu hiyo. Taarifa zasema kwamba  Progressive Starlets ilivunjika baada ya kushuhudiwa mgomo baridi  miongoni mwa wachezaji baada ya tukio la kukosa kuheshimu ratiba muhimu ya ligi msimu uliopita. Neema Charo ni nahodha na naibu mkufunzi kocha […]

PROGRESSIVE STARLETS ILISAMBARATIKA! Read More »