BUMBANI STARS YAIMARISHWA NA MECHI KUBWA ZA KIRAFIKI
Mkufunzi wa klabu ya Bumbani Stars kutoka kaunti ya Kwale Mwaduka Bakari anasema kushiriki mechi za kirafiki na vilabu vikubwa kama vile Coastal Union ya Tanzania Bara ni kati ya siri ya mafanikio ya timu yake msimu huu. Bumbani Stars ambao wanacheza msimu wao wa kwanza wa daraja la pili kitaifa wanaongoza ligi na lengo […]
BUMBANI STARS YAIMARISHWA NA MECHI KUBWA ZA KIRAFIKI Read More »



