ZIWANI YOUTH YAVUNA, BEACH BAY YALALAMA
Klabu ya Ziwani Youth kutoka kaunti ya Mombasa katika uwanja wa ugenini huko Mjanaheri dhidi ya klabu ya Beach Bay ilisajili ushindi wa mabao 2-1 katika mechi ngumu iliyojaa taharuni kwelikweli. Akizungumza na Tama La Spoti kocha wa Ziwani Youth Ali Brake anasema ulikuwa ushindi mgumu hasa ugenini lakini anawapongeza vijana wake kwa kujituma na […]
ZIWANI YOUTH YAVUNA, BEACH BAY YALALAMA Read More »



