WAZAZI WASHAURIWA KUSAPOTI WANAO MICHEZONI
Wito umetolewa kwa wazazi kuwasapoti watoto wao katika michezo kama njia moja ya kuwatayarisha kwa maisha yao ya baadae. Akizungumza na Tama la spoti kupitia njia ya simu Samuel Mulat ambaye ni katibu wa michezo ya shule za upili katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi anasema kwa ulimwengu wa sasa wanamichezo wanavuna sana kupitia […]
WAZAZI WASHAURIWA KUSAPOTI WANAO MICHEZONI Read More »



