Kitaifa

FKF YAPENDEKEZA JUNIOR STARLETS IPELEKWE UHISPANIA

Baada Ya Kupata Tiketi Ya Kushiriki Kombe La Dunia La Fifa La U-17 Mwaka Huu Linalotarajiwa Kufanyika Huko Jamuhuri Ya Dominika Mwezi Oktoba, Serikali Kupitia Wizara Ya Michezo, Imeahidi Kusimamia Maandalizi Sahihi Na Ya Kina Kwa Junior Starlets, Ambayo Itashiriki Kwa Mara Ya Kwanza Katika Onyesho Hilo La Kila Baada Ya Miaka Minne. . Baada […]

FKF YAPENDEKEZA JUNIOR STARLETS IPELEKWE UHISPANIA Read More »

RATIBA YA EPL 2024/2025 YATANGAZWA, MAN U WAANZIA NYUMBANI

Ratiba ya ligi kuu nchini Uingereza imetangazwa rasmi hii leo huku msimu mpya wa mwaka 2024/2025 ukitarajiwa kuanza rasmi tarehe 16 mwezi Agosti ambapo mechi ya kwanza itachezwa. Mechi ya kwanza kabisa ya EPL msimu ujao ni ile ya Manchester United dhidi ya Fulham katika uwanja wa Old Trafford. Hayo yanajiri huku matayarisho ya msimu

RATIBA YA EPL 2024/2025 YATANGAZWA, MAN U WAANZIA NYUMBANI Read More »