WAZIRI NAMWAMBA ANA IMANI WANARIADHA
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba anatarajia Timu ya Kenya kuandikisha matokeo bora zaidi kuwahi kutokea katika Michezo ya Olimpiki watakapo shiriki kwenye makala ya mwaka huu jijini Paris, na hii ni kulingana na anavyoona maandalizi yao kufikia sasa. Ababu ameyasema hayo kipindi ambacho alikuwa ameenda kuwapa vifaa na mavazi wachezaji wa timu hiyo jijini Nairobi […]
WAZIRI NAMWAMBA ANA IMANI WANARIADHA Read More »



