AKIDA AACHANA NA AC PAOK UGIRIKI
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Moving the Goal post kutoka kaunti ya Kilifi Essie Akida sasa ni rasmi ameachana na klabu yake ya AC Paok Ugiriki baada ya kuhudumu katika klabu hiyo kwa takriban miaka mitatu. Akida amethibitisha hilo kupitia kurasa zake ya mitandao ya kijamii na kuonyesha mapenzi na klabu hiyo licha ya […]
AKIDA AACHANA NA AC PAOK UGIRIKI Read More »



