Kitaifa

SILVER BULLETS BAADA YA KUACHANA NA KOCHA WAO SASA YASHUKA DARAJA

Klabu ya Silver Bullets haitashiriki ligi ya Fkf daraja la pili kitaifa msimu ujao baada ya kushushwa daraja. Klabu hiyo yenye makazi yake Vipingo katika kaunti ya Kilifi ilikosa kusafiri na kushiriki mechi tatu za ligi na kwa mujibu wa sheria tayari imeshuka daraja kwa hilo. Hayo yanajiri majuma machache baada ya kocha mkuu wa […]

SILVER BULLETS BAADA YA KUACHANA NA KOCHA WAO SASA YASHUKA DARAJA Read More »