KEN ODHIAMBO NDIYE KOCHA MPYA BANDARI FC
Naibu kocha mkuu wa timu ya taifa ya Harambee Stars Ken Odhiambo ametangazwa kuwa kucha mkuu wa klabu ya Bandari Fc kutoka kaunti ya Mombasa kuelekea msimu wa mwaka 2024/2025. Odhiambo sasa anatarajiwa kusadia na mkufunzi John Baraza kwenye kuinoa klabu hiyo ya Pwani ambayo inalenga kuwinda ubingwa wa ligi ya FKF Msimu ujao. Ujio […]
KEN ODHIAMBO NDIYE KOCHA MPYA BANDARI FC Read More »



