Kitaifa

WANAMICHEZO WAKASHIFU UTEUZI WA MURKOMEN

Rais William Samoei Ruto ametangaza mapendekezo mapya ya baraza lake la mawaziri mchana wa leo na kati waliotajwa ni aluiyekuwa waziri wa barabara na uchukuzi Kipchumba Murkomen kuwa kwenye wizara ya sana, vijana na michezo akichukua mikoba kutoka kwa Ababu Namwamba aliyefutwa kazi siku chache zilizopita. Ruto huku akiashiria kuwa mapendekezo hayo mapya yakipelekwa bungeni […]

WANAMICHEZO WAKASHIFU UTEUZI WA MURKOMEN Read More »

HARAMBEE STARS YASALIA NAFASI 108 FIFA, ARGENTINA IKISHIKA KILELE KWENYE VIWANGO VIPYA

Timu ya taifa ya Kenya Harambe Stars imesalia katika nafasi yake ya 108 katika viwango vipya vya fifa vilivyotolewa hivi punde. Majirani Uganda wako mbele ya Kenya huku duniani kwenye viwango hivyo wakisiamama katika nafasi ya 95 huku Tanzania ikiwa chini ya Kenya na iko katika nafasi ya 113. Duniani timu ambayo kwa sasa iko

HARAMBEE STARS YASALIA NAFASI 108 FIFA, ARGENTINA IKISHIKA KILELE KWENYE VIWANGO VIPYA Read More »