DR AGGREY KUIWAKILISHA PWANI KWENYE MICHEZO KITAIFA
Kamati ya maamuzi ya michezo ya shule za upili katika mkoa wa Pwani imeirudishia Dr Agrey nafasi yao ya kuiwakilisha pwani kwenye michezo ya shule za upili baada ya taarifa za awali kuwa nafasi hiyo imepewa shule ya Upili ya Tononoka. Kulingana na taarifa ni kuwa awali Tononoka walikuwa wameshapewa nafasi hiyo na wanaanza Matayarisho […]
DR AGGREY KUIWAKILISHA PWANI KWENYE MICHEZO KITAIFA Read More »



