Kitaifa

BUMBANI STARS NA ZIWANI YOUTH KUTAFUTA TIKITI YA ‘DIV ONE’

Ligi ya daraja la pili kitaifa ilitamatika rasmi wikendi hii na Bumbani Stars ndio mabingwa wa ligi hiyo baada ya kuonyesha kiwango bora msimu mzima. Wikendi hii ambayo mechi za mwisho wa ligi zilikuwa zachezwa timu kadhaa zilikosa kuheshimu ratiba kwa kile kinachotajwa kuwa changamoto za usajiri katika mechi za ugenini. Sango  Sportiff kutoka Tana

BUMBANI STARS NA ZIWANI YOUTH KUTAFUTA TIKITI YA ‘DIV ONE’ Read More »

USIMAMIZI WA YOUNG BULLS YAZUNGUMZIA MSIMU MPYA WA 2024/2025

Usimamizi wa vilabu vya Young Bulls na YoUNG Bulls Starlets umetangaza kuwa unalenga kusimamisha klabu ya wavulana ya Young Bulls kwanza kuwa imara kabla ya kuzamia kuileta klabu ya Young Bulls starlets katika ligi ya fkf msimu ujao. Kulingana na Shahib Shahib ambaye ni meneja wa klabu ya Young Bulls ni kuwa klabu hiyo ilikuwa

USIMAMIZI WA YOUNG BULLS YAZUNGUMZIA MSIMU MPYA WA 2024/2025 Read More »