ABABU NAMWAMBA ASHAWISHIWA KUWA NA UWAZI NA OLIMPIKI
Wito umetolewa kwa wizara ya michezo kuweka wazi orodha ya wachezaji na wadau wote watakao kuwa safarini kuelekea Paris Ufaransa mwezi huu ambako mashindano ya Olimpiki yatakuwa yanafanyika. Wito huo umetolewa na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya raga ya Kenya Dennis Ombachi ambaye pia ni mkereketwa wa masuala ya michezo humu nchini. […]
ABABU NAMWAMBA ASHAWISHIWA KUWA NA UWAZI NA OLIMPIKI Read More »



