BUMBANI WATOLEWA UPEPO NA SANGO SPORTIFF
Klabu ya Bumbani Stars katika uwanja wa ugenini huko Tana River dimbani Santiago imekubali kichapo cha mabao 3-2. Bumbani Stars ilikuwa inacheza na shinikizo dhidi ya Santiago ambao katika uwanja wao wa nyumbani wamezidi kuwa wagumu. Licha ya kipigo hicho Bumbani Stars bado iko katika nafasi nzuri ligini kupanda daraja hadi daraja la kwanza kitaifa. […]
BUMBANI WATOLEWA UPEPO NA SANGO SPORTIFF Read More »



