Kitaifa

BIRINGI SHARKS YAVINJWA KISA GOVERNORS CUP

Mmiliki wa klabu ya Biringi Sharks Anthony Mwema anasema amelazimika kuivunjilia mbali klabu hiyo kutokana na wachezaji kukosa nidhamu na kujigawanyia pesa za zawadi za governors Cup bila kuhusisha uongozi. Biringi sharks walikuwa mabingwa wa mashindano ya kombe la gavana katika wadi ya mji wa Malindi na walijishindia shilingi elfu hamsini katika kikosi cha wanaume

BIRINGI SHARKS YAVINJWA KISA GOVERNORS CUP Read More »