Kitaifa

MURKOMEN AKULA KIAPO CHA MICHEZO KWENYE BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

Kipchumba Murkomen amekula kiapo hii leo na kuchukua majukumu rasmi kama waziri wa michezo hapa nchini kwenye nafasi ilokuwa inashikiliwa na Ababu Namwamba. Hii ni baada ya kusailiwa bungeni na baadaye kupitishwa kwa kiapo hicho katika Ikulu ya Nairobi mbele ya Rais wa Kenya William Ruto. Kati ya mageuzi ya kwanza ambayo Kipchumba aliweka wazi

MURKOMEN AKULA KIAPO CHA MICHEZO KWENYE BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI Read More »

MURKOMEN ASHAURIWA

Mwaniaji wa kiti cha urais wa Shirikisho la Soka la Kenya Tom Alila ametoa wito kwa Waziri mpya wa Michezo Kipchumba Murkomen kutimiza ahadi yake ya kuboresha mashirikisho ya michezo nchini. Hayo yanajiri baada ya Murkomen ambaye alikuwa Seneta wa Elgeyo Marakwet kuapishwa leo asubuhi, akimrithi Ababu Namwamba aliyetimuliwa mwezi uliopita. Alila anahisi mengi yanaweza

MURKOMEN ASHAURIWA Read More »