MAGARINI YAPIGWA NYUMBANI DOLA SUPER CUP
Mechi ya semi fainali ya Dola Super Cup kaunti ya Kilifi raundi ya kwanza ilokuwa inakutanisha timu ya Magarini dhidi ya Kilifi Kusini imetamatika muda mchache uliopita katika uwanja wa GFC Gongoni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi na imeisha kwa wageni Kilifi Kusini wakisajili ushindi wa bao 1-0. Suleiman Bareho ambaye ni kocha […]
MAGARINI YAPIGWA NYUMBANI DOLA SUPER CUP Read More »



