Kitaifa

VIONGOZI WA SOKA MASHINANI WASHAURIWA KUHUSU TALANTA

Wito umetolewa kwa viongozi wa vilabu kuja mashinani na kutambua na kuchukua talanta za wachezaji na kuzitumia katika vikosi vyao. Ni kauli ambayo imetolewa na meneja wa mauzo katika kampuni ya Dola Sadddam Suleiman ambaye anasema mashindano yanayoendelea ya dola yamevutia watu wengi ambao ni pamoja na wale wanao kuja kusaka talanta. Amesema itakuwa busara […]

VIONGOZI WA SOKA MASHINANI WASHAURIWA KUHUSU TALANTA Read More »

MCHEZAJI BORA WA FAINALI KILIFI NI MCHEZAJI HURU

Mchezaji bora katika fainali ya mashindano ya Dola Super Cup Ahmed Athman Shakur aliyewasilisha Kilifi South ilihoibuka mabingwa wa Dimba hilo katika kaunti ya Kilifi amethibitisha kuwa yeye kwa sasa ni. Mchezaji huru baada ya kuachana na klabu yake ya nyumbani Silver Bullets iliyoshuka daraja. Akizungumza na Tama La Spoti amethitibisha kuwa kwa sasa hajapata

MCHEZAJI BORA WA FAINALI KILIFI NI MCHEZAJI HURU Read More »