Kitaifa

MURKOMEN AZUNGUMZIA UCHACHE WA MEDALI KWENYE OLIMPIKI

Waziri wa michezo hapa nchini Kipchumba Murkomen ametaja kuwa uchache wa michezo inayowasilishwa na Wakenya katika Olimpiki ndio jambo ambalo limechangia pakubwa kupitwa na mataifa mengine kwenye idadi ya medali mwaka huu. Katika mashindano ya Olimpiki ya Paris Ufaransa mwaka huu Kenya ilisajili medali 11 pekee jambo ambalo Murkomen anahisi Kenya ingeviluna zaidi iwapo ingeshiriki

MURKOMEN AZUNGUMZIA UCHACHE WA MEDALI KWENYE OLIMPIKI Read More »