BUMBANI STARS KUCHEZA ‘DIV ONE’ MSIMU UJAO
Klabu ya Bumbani Stars ambao walishinda ligi ya daraja la pili kitaifa msimu ulopita ni rasmi sasa imefuzu kushiriki katika ligi ya daraja la kwanza kitaifa msimu ujao. Hi ni kufuatia matokeo yao katika mashindano ya mini lieage yalofanyika wiknedi hii na hii leo pia. Kutokana na ushindani mkali timu ilomaliza katika nafasi ya pili […]
BUMBANI STARS KUCHEZA ‘DIV ONE’ MSIMU UJAO Read More »



