LUCKY LEWA AWINDWA MOMBASA
Nyota wa klabu ya Mbungoni FC kutoka eneo bunge la rabai Lucky Lewa anavutia vilabu kadhaa vya Mombasa. Klabu ya Mombasa Stars inayoshiriki ligi ya kitaifa ya NSL ni kati ya vilabu ambavyo vimeonesha nia ya kumsajili Lewa. Mshambuliaji wa klabu ya Tsunami Fc Mohamed Modizo ameivutia Young Bulls inayoongozwa na Kocha Ali Mwachaunga ambaye […]
LUCKY LEWA AWINDWA MOMBASA Read More »



